Askofu Msaidizi Jimbo kuu la Dar es Salaam. Rt. Rev. Eusebius Alfred Nzigilwa

Askofu Mkuu Jimbo kuu la Dar es Salaam. His. Grace Jude Thaddaeus Ruwa’ichi

Pakua Form Mbalimbali

Mwaliko wa Paroko kwa wanao tembelea tovuti

Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote (2Kor. 13:14).

Karibu sana kusoma kwenye tovuti ya Kanisa Katoliki, Parokia ya Mbweni – Mtakatifu Raphaeli Malkia Mkuu, Jimbo Kuu la Dare s Salaam.Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa rehema, Mungu wa faraja yote; atufarijiye katika dhiki zetu zote ili nasi tupate kuwafariji wale walio katika dhiki za namna zote, kwa faraja hizo, tunazofarijiwa na Mungu.

Ninayo furaha ya pekee kwa niaba ya wanaparokia wa Parokia ya Mtakatifu Raphaeli Malikia Mkuu Dar es Salaam, kukualika ndugu msomaji ushiriki na wanaparokia wa parokia yetu kuieneza Injili ya Yesu Kristu kupitia tovuti hii.

Rev. Fr. Edwin Dinho (HGN)